专业歌曲搜索

Raha - Zuchu.mp3

Raha - Zuchu.mp3
Raha - Zuchu
[00:00.000] 作词 : Zuchu [0...
[00:00.000] 作词 : Zuchu
[00:00.000] 作曲 : Zuchu
[00:00.001]
[00:18.291]
[00:18.751]Yani Kwa Sauti
[00:20.671]Kasema Deeka Deeka
[00:24.571]Na Mimi Najiachia
[00:28.871]Kanipa Shuruti
[00:30.681]La Kumteka Teka
[00:34.151]Silaha Kanigawia
[00:38.801]Mbezi Kimara
[00:41.821]Hunipeleka peleka
[00:44.001]Mpaka Mwisho Hashuki Hashuki
[00:48.991]Kiungo Imara
[00:51.731]Hunipenyeka Penyeka
[00:53.981]Kwa ya Nguvu Mashuti Mashuti
[00:59.081]
[00:59.361]Oooh Oh!
[01:00.761]Kaniweka Darasani Kunifundisha Vizuri
[01:05.521]Mengi Hayajulikani Yataka Kuyakariri
[01:10.681]Kanichorea Ramani Kopa Lenye Nyingi Siri
[01:15.571]Jekundu Nje Na Ndani Rangi Yake Zingifuri
[01:19.841]
[01:19.941]Raha Kupendwa Raha(Mmmhh! Kupendwa Raha)
[01:24.851]Raha Jamani Raha(Naona Raha)
[01:29.761]Raha (Raha) Kupendwa Raha
[01:32.841]Ooh! Kupendwa Raha
[01:34.821]Raha Jamani Raha
[01:38.891]
[01:39.011]Eti Niende Msituni
[01:40.961]Zaraninge Na Matipwili Nikamroge
[01:44.431]Abadan (Abadaan)
[01:48.961]Penzi Nichanjie Mizaituni
[01:50.871]Kwa vilinge Na Kuzikiri...Linoge
[01:53.891]Aah Abadan Aah Abadan
[01:59.881]Vineno Vya Kisirani
[02:02.331]Kafumwa Na Mwafulani
[02:04.851]Mweupe Mara Kijani
[02:07.391]Inawahusu Nini?
[02:09.891]Vipimo Viso mizani
[02:12.431]Kutwa Kwenu Midomoni
[02:14.871]Tumewakaa Kichwani
[02:17.171]Mtumezee Kwinini
[02:19.271]
[02:19.391]Oooh Oh!
[02:20.751]Ndege Asili Ya Buga Kufugwa Hawezekani
[02:25.571]Mithili Ya Kivuruga Kaumbiwa Kutamani
[02:30.541]Atenda Tafuta Boga Japo Tama Libandani
[02:35.721]Ende Tezi Sina Woga Atarejea Ngamani
[02:39.901]
[02:40.051]Raha Kupendwa Raha(Mmmhh! Kupendwa Raha)
[02:44.811]Raha Jamani Raha (Naona Raha)
[02:49.761]Raha (Raha) Kupendwa Raha
[02:52.851]Ooh! Kupendwa Raha
[02:54.891]Raha Jamani Raha
[02:59.371]
[03:14.061]
展开